Makamba kuteua wakaguzi 200 wa mazingira

0 91

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) January Makamba ameutaka uongozi wa mkoa wa Arusha kupeleka orodha ya majina ya watakaoteuliwa kwa ajili ya kusimamia shughuli za mazingira. Goedkoop Nike Air Max Makamba amesema hayo leo (Jumatatu)wakati akipokea taarifa ya hali ya mazingira katika mkoa wa Arusha katika makao makuu ya mkoa huo.Amesema kwa mamlaka aliyokuwa nayo mwezi ujao atateua wakaguzi 200 wa mazingira ambao watakuwa na jukumu la kusimamisha shughuli za mazingira na athari zake ikiwamo kupiga faini. Chaussure Asics Gel Noosa Tri 11 Leteni orodha ya majina kadri mnavyoweza ili niwajumuishe katika orodha ya majina 200. Kyrie 2 Scarpe Changamkieni ofa hii ila naomba wenye sifa na wasiwe mbalimbali na masuala ya mazingira.Akiwasilisha taarifa mazingira ya mkoa wa Arusha ,

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.