Mjumbe wa Yanga agomea wito wa TFF

0 139

Baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kumshitaki kwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), sac à dos fjallraven kanken Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa klabu ya Yanga, msemaji huyo Salum Mkemi, Goedkoop Air Max Nike amesema kuwa hatofika kusikiliza shitaka lake kwani ana majukumu ya timu yake ambayo inajiwinda na Mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya wafalme wa Misitu, J.J. Watt Jerseys Klabu ya Mbao Fc. Mkemi alitakiwa kufika mbele ya kamati hiyo kesho Jumapili katika Ofisi za shirikisho, mapema saa 5 asubuhi baada ya kushutumiwa kwa kuidhalilisha Kamati ya Saa 72, Air Jordan 11 Retro kuwa inaendeshwa kwa unazi na imegubikwa na rushwa katika kulishughulikia suala la kadi tatu za njano kwa mchezaji, Andrew Heaney Baseball Jersey Mohammed Fakhi wa klabu ya Kagera Sugar. Mkemi amesema: “Sitaweza kwenda kusikiliza nilichoitiwa katika siku hiyo ya Jumapili kwani nipo Mwanza na timu na ndiyo kiongozi wa msafara. nike air max pas cher “Tunacheza na Mbao hiyo Jumapili hivyo nimeandika barua kwa TFF kuwataarifu kuwa sitoweza kufika siku hiyo kama kamati ilivyonitaka hivyo wanipangie siku nyingine. Air Jordan 11 Uomo “Mimi sio mhalifu isipokuwa ni tuhuma tu juu yangu, Nike Air Max 2017 Heren rood hivyo nitakapopangiwa siku nyingine nitakwenda, Solde adidas na wamekubali ombi langu hilo.” Juzi, Kanken Rugzakken Goedkoop Wambura alitoa taarifa ya Mkemi kutakiwa kwenda kujieleza mbele ya Kamati ya Nidhamu kwa kosa la kuishambulia Kamati ya Saa 72.

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.