Mshauri mkuu wa kiongozi wa Taleban auawa na Marekani

0 65

Kiongozi wa kundi la Taleban Abu Bakr al -Bhagdad

Makao makuu ya jeshi ya Marekani, Women Air Jordan 6 Pentagon, Asics Pas Cher yamemlenga na kumwua mshauri mkuu wa kiongozi wa Taliban, nike air max 2016 goedkoop Abu Bakr al -Bhagdadi katika shambulio lililofanywa nchini Syria.

Msemaji wa Pentagon, nike air max 2016 blauw kanali John Thomas, Adam Wainwright Authentic Jersey alisema kuwa Abdul Rahman al-Uzbek, nike air max pas cher aliuawa Aprili 6 lakini hakutoa taarifa zaidi. nike tn requin pas cher Alisema kuwa Al-Uzbeki alishiriki katika kupanga mashambulizi kwenye kilabu kimoja usiku wa kuamkia mwaka mpya mjini Istanbul ambako watu 30 walifariki. Goedkoop Adidas Superstar Mwandishi wa BBC alisema kuwa ingawa kuna wanajeshi zaidi ya 500 wa Marekani kutoka kikosi maalumu nchini Syria kwa kawaida hawashiriki katika oparesheni moja kwa moja. Kole Calhoun Jersey Alisema wao hutumia muda mwingi kutoa ushauri kwa makundi asilia ya maeneo hayo jinsi ya kukabiliana na wapiganaji wa Islamic State.

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.