Mtoto aliyezaliwa na miguu 3 afanyiwa upasuaji Australia

0 185

Mtoto wa miaka mitatu aliyezaliwa na miguu mitatu

Mtoto mmoja nchini Bangladesh aliyezaliwa akiwa na miguu mitatu amefanyiwa upasuaji nchini Australia na sasa anarudishwa nyumbani

Choity Khatun ambaye ana miaka mitatu alizaliwa na ulemavu huo ambapo mguu huo ulikuwa umemea katika mfupa wake wa kiuno. Under Armour Soldes Wapasuaji wa Australia walitumia mwezi mmoja wakifanya kazi ya kuuondoa mguu huo na kurekebisha eneo lake la mfupa wa kiunoni. nike air max 1 pas cher Mtoto huyo alipelekwa Australia kutoka kijijini kwao huko Bangladesh na shirika moja la hisani Children first Foundation. Pat Tillman Jerseys Daktari Chris Kimber ,kiongozi wa upasuaji katika hospitali ya Monash huko Victoria alisema kuwa kesi ya Choite ilikuwa isio ya kawaida na kwamba upasuaji huo ulikuwa mgumu. Fjallraven Kanken Big Picha ya X ray ya Mtoto mmoja nchini Bangladesh aliyezaliwa akiwa na miguu mitatu ”Upasuaji hutegemea mtu anayefanyiwa na lazima utumie muda mwingi kuchanganua ni nini kilichopo na baadaye upange mpango unaoshirikisha hayo yote”, New Balance Pas Chers aliambia kituo cha habari cha Australia Broadcasting Cooperation.

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.