Polisi auawa kwa risasi mjini Paris

0 55

Mtu mwenye silaha alishuka ndani ya Gari na kuanza kushambulia Basi la Polisi

Polisi mmoja ameuawa kwa kushambuliwa na risasi mjini Paris nchini Ufaransa na wengine wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya mtu mmoja mwenye silaha kulifyatulia risasi basi la Polisi lilipokuwa limeegeshwa katika moja ya mitaa ya mji huo, nike air maxschoenen The Champs Elysees.

Mshambuliaji alitoka kwenye Gari na kuanza kufyatua risasi, chaussures nike tn requin huku akijaribu kukimbia eneo la tukio lakini baadae aliuawa na Polisi. nike air max 2017 femme Mwendesha mashtaka jijini Paris, Kyrie 2 Scarpe Francois Molins amesema mtu mwenye silaha ametambulika. Nike Air Max 2016 Dame Amethibitisha kuwa msako wa Polisi ulikuwa ukiendelea kwenye nyumba ya mshukiwa kwenye viunga vya mashariki mwa Paris. Nike Air Max 2016 Femme Alisema Polisi walikuwa wakifanya uchunguzi kuona kama mtu huyo alikua na washirika. Air Jordan 11 Donna Tukio hilo limetokea siku kadhaa tu kabla ya kufanyika kwa duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais. Kanken Mini Ujumbe uliodaiwa kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Islamic State umedai kuwa mmoja wa wafuasi wake Abu Youssef raia wa Ubelgiji alitekeleza shambulio hilo.

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.