Rashford aipeleka nusu fainali Man United

0 76

Marcus Rashford mchezaji chipukizi wa Man United

Mnamo dakika ya 10 Henrikh Mkhitaryan alikata utepe baada ya kuzifumania nyavu za Anderlecht ingawa Sofiane Hanni alisawazisha dakika ya 32.

Wale wasioipenda Manchester United pengine usiku wa kuamkia leo wamekuwa na furaha mpaka dakika ya 107 ya mchezo pale mchezaji kinda Marcus Rashford alipoutumia muda wa nyongeza kuivuruga Anderlecht na kufanikiwa kuipeleka Man U katika nusu fainali ya Europa League. Fjallraven Kanken 20L Manchester sasa inaelekeza nguvu zake katika Premier League wanaposafiri kwenda kukutana na Burnely Jumapili. goedkoop nike air max 2017 Tutakutangazia mechi hii kwa kiswahiuli hiyo jumapili. asics homme Kabla ya hiyo ya jumapili, jumamosi tutakuwa tumekutangazia mtanange wa West Ham dhidi ya Everton. nike blazer pas cher Leo ndiyo siku ambayo droo ya Champions League na ile ya Europa League zinatangazwa. Dallas Mavericks Yaani leo ndiyo inafahamika nani anakutana na nani katika nusu fainali. Jordan 11 Pre-School Manchester United inaweza kukutana Ajax ya Uholanzi, Celta Vigo ya Hispania au Lyon ya Ufaransa. Nike Pas Cher Upande wa Champions League zimesalia Real Madrid, Juventus, Monaco na Atletico Madrid. air max pas cher Droo hizi zitafanyika katika makao makuu ya UEFA mjini Nyon, Switzerland.

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.