Steve Nyerere-Awachana Bongo Movie kutumika Kisiasa

0 58

Image result for steve nyerere Steve Nyerere Leo ameongea na waandishi wa Habari na kuotoa fikra zake kuhusu maandamano ya Bongo Movie kupinga kuingiza Filamu za nje Hapa Tanzania “Binafsi ninalipinga hili, wasanii tunataka kutumika ndivyo sivyo. Nike Air Max 2016 Heren Mimi siwezi tu kuambiwa kuwa kuna maandamano nikaenda. Adidas NMD Goedkoop “Tunavyosema filamu za nje zinazuia soko la ndani ni uongo, hizi filamu za nje tangu tunazaliwa zilikuwepo, tumewakuta akina Arnold Schwartzneger na Rambo, filamu zao zilikuwa zinauzwa Kariakoo. nike air max pas cher Tulizichukua majority tukatengeneza filamu zetu. fjallraven kanken mochilas Tuliwakuta wanigeria tukashindana nao tukaweza, hata filamu za Kihindi tuliweza kushindana nazo. Adidas Superstar Dames “Hatujawahi kumzuia Yemi Alade afanye muziki hapa nchini ijapokuwa tuna wanamuziki wetu akina Diamond na Ali Kiba. Fjallraven Kanken France “Ninachoweza kusema ni kwamba turudi tuangalie ni wapi tumeharibu, tuache kuingiza visingizio ambavyo havina mantiki. Nike Air Max 2017 Goedkoop Wafanyabiashara Kariakoo wanauza filamu zinazouza na siyo uzalendo. Asics Pas Cher “Watanzania tumezoea kukaa mezzani na siyo maandamano. Utazuia Dar, je vipi kuhusu Arusha, Dodoma, Mwanza nk… hili janga sio la Dar es Salaam pekee ni la Tanzania nzima. “Mpaka sasa msambazaji ni mmoja, aliyelemewa mzigo.

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.