Uturuki yaifunga tovuti ya Wikipedia

0 75

Tovuti ya Wikipeadia iliofungwa nchini Uturuki

Uturuki imefunga tovuti ya maelezo ya Wikipedia nchini humo.

Waliojaribu kufikia mtandao wamepata ujumbe kwamba seva yake haifanyi kazi. nike air max Idara ya mawasiliano imesema kwamba hatua mwafaka imechukuliwa kutatua tatizo hilo, nike air max 1 pas cher japo haikutoa sababu yoyote ya mtandao huo kufungwa. Asics 2017 Goedkoop Tovuti zingine zinafanya kazi kama kawaida. Asics Aoldes Uturuki imekuwa ikifunga mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Twitter wakati wa maandamano makubwa ama mashambulizi ya kigaidi.

You might also like More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.